azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

josco boy – sijapenda lyrics

Loading...

oooooh aaaeee joso boy aaah yeye
usijekuniona mjinga bure wakati
kosa sio langu me
usijekuniona mjinga bure wakati
kosa sio langu mimi
sijfanya chochote eeh
na wala sijfanya chochote mii..
nilipambana kutafuta aah
nilipambana kutafuta aah
ila mungu ila atupenda yoo
ila mungu ila atupenda yoo
leo haikuwa riziki yangu
kesho inakuwa riziki ya wengine eeh
ooh basi ungenivumiliaaah yoo
ule sio mimi ndio nilipenda aah
sio mimi , mimi ndio nilipenda
sio mim, sio mimi , sio mimi
ndio nilipenda yote haya yakoteeeh
husije kunilaumu bure!! eeeeh
wala sio mimi ndio nilipenda
haya yote yatokeeh aaah oooh

hungekuwa mvumilivu uuuh
mvumilivu , ningekupeda mpaka mileleeeh
oooh mpaka milele < nasha , nashangaa ile hahadi iliyo hadi nami leo umeivunja aaaaah wala mimi sikupenda mimi oooh wala mimi sikupenda ivyo oooh ungenivumilia tuuu ooooh mimi sikupenda aaah mimi sikupenda aaah haya yote yatokeheeeh < usinilaumi sio kosa langu mimi , wala mimi sikupenda yote yakotokeeeh wala sio mimi , sikupenda yote yatokeheee nilipambana kutafuta ila haiikuwa riziki yangu miiiiih oooh uuuuuh nilipambana kutafuta ila haikuwa riziki yangu miii



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...