azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

jua cali – panda shuka lyrics

Loading...

panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka

maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka

maisha nikupanda na kushuka
stress imezi boy w+ngu anataka kujiua
namuuliza shida iko wapi
ananiambia shida ni mingi sijui aanzie wapi
ananiambia works ilikatika na keja inafungwa
anataka kupeleka watoi wake wawili wakae na guka
wife nae amechoka antaka kujitoa
kuna jamaa mzee amesema atampatia maisha poa
maboy wake wote wa karibu wamemkimbia
ata sistake mkubwa hataki k+mkaribia
bro wake ndogo tukona mbaya but simu hashiki
amejipoteza mpaka alihamisha ile offisi ya jiji
pombe kwa sasa ndio halisi
cocaine ni brother na shash ni rafiki
asipozitimia kichwa atalipuka
asiposaidika boy w+ngu atajiua
maisha ni kupanda na kushuka au sio
eh!! manze leo uko sawa kesho blunder
ausio, eh! manze lakini
lazima jo tu roll na hizo blows manze ausio
hivohivo strong, strong

msanii nakuona uko juu unatesa
events kila siku unaingiza pesa
nakuona mtu w+ngu unaskia raha
kila show unapiga venue unajaza
hakuna kitu unaeza ambiwa we ndio kusema
mtu wowote yukona shida we ndio unamjenga
kila corner ya dunia unakanyaga
kutoka sydney mpaka alabama
biiboards kila mahali nani ka wewe
ma collabo kila mahali nani ka wewe
polepole kiburi inaingia kwa kichwa
hautaki kukashifiwa wewe unataka tu sifa
time nao imeenda ulisahau kuji investia
magroupie ulikua nao ndio hao wamekimbia
too late mtu w+ngu by the time unashtuka
career yako ndio hio inashuka
wasaniii, hii ndio time yaku invest mtu w+ngu
unaskia? eeh
hio ndio time yaku invest
eh! unatengeneza pesa eeeeh
wacha future yako pesa ikujenge ausio yeah aaah

panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka
panda shuka, panda shuka, panda shuka
maisha ni panda shuka



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...