azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

just a band - ha he lyrics

Loading...

[intro]
microphone check one, one two

[verse 1]
ukiwasha nare mathare ‘taonja vibare
mi si mnati, si babi, niko tu katikati
staki kuskiza story za charity, charity
nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
sema oh

[hook]
juu tuko works mzeiya
evacuate the area
juu tuko works mzeiya

[verse 2]
serikali haijali
so naona mbwa kali afadhali
dame amejam juu dough haikam
na siwezi k-m-show ati life ni exam juu
ntatupiwa sufuria
na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
so nikikupita tao, tao
jua sio madharau-rau

[hook]
juu tuko works mzeiya
evacuate the area
juu tuko works mzeiya

[verse 3]
nipe, nipe nafasi
nikueleze kiasi
vile sisi hufanya
pande hii ya the tracks
hatuchezi na kazi
usipoteze wakati
tumekunja mashati

[hook] x5
juu tuko works mzeiya
evacuate the area
juu tuko works mzeiya



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...