k son rap – ndoto ya mchana lyrics
[intro]
yeah ksonrap
this one right here is for the people
yeah, let’s go
[verse]
ajira hakuna tunasuk+ma mikokoteni../wanasiasa baada ya kampeni wameingia tu mitini../bila hata kandili wametuacha tu gizani../kila kitu wametupiga pini wanasingizia vita vya ukreini/vitu vinapanda bei madukani..nachokisema nikweli wala sio utani../mfanya biashara wan+z+funga tu mizani../shekhe msikitini anakosa hela yakununua hata ubani../hakuna anaetoa sadaka kanisani hatuna hata mbuni../hakuna madawati watoto wanakaa chini mashuleni../sare zao zimetoboka matakoni../wabunge wao wanasinzia tu bungeni..wametuacha kwenye mataa hali duni../wanaishi zao tu mijini tuvyoishi ni kama mateka tu vitani../hakuna madawa hospitalini majisafi hayatoki mabombani../wanapitisha tu kokeni mateja wan+z+di tu kujaa uswahilini../hadi lini? magendo yanapita tu bandarini../hatupo hata makini wanasafirisha makinikia watuambia sio madini../nyie kopeni siegii anatuambia yanaongezeka tu madeni../watetezi wote wapojela wanakesi za uhaini../waliponea chupuchupu walikimbilia uhamishoni../
Random Lyrics
- anuubys – sunrise lyrics
- lateral – no vayamos lento lyrics
- jack johnson – don’t look now lyrics
- the beat fleet – daleko od zemlje lyrics
- nessazary – prom lyrics
- flasher – dial up lyrics
- icy g – next level griffy (charli xcx remix/cover) lyrics
- bad vella – schau in meine augen lyrics
- outward alien – i wanna be the guy lyrics
- young ly – 3style lyrics