k son rap – tatizo lyrics
tatizo vita ucrein mafuta bongo yanapanda bei..imekuwa tatizo../gharama maisha zimepanda mkiongeza tena tozo inakuwa bonge tatizo../msemaji akiwa tive ake hili nalo tatizo../dili za magendo mkikosa uzalendo..mkikosa upinzani..bunge la ushindi wakishindo/..kwenye jiji la makala..mgambo na mchinga kariakoo../bado tupo local vp international..pia ni tatizo../tatizo ni madawa ya kulevya mateja panya rodi../wengi wana kwepa kodi..wagonjwa wanafia kwenye wodi../unyanyasaji ukeketaji mila zakijadi bado nitatizo../
tatizo mn+z+ngua mnajijua../
tungo zakitoto..kimuziki hamjakuwa../ tatizo hamjiziki vitabuni..
ngoma zenu zikitoka../zote n+z+tia tu kapuni../tatizo hamfati misingi hata kanuni../hamjui kuwa hiphop utamaduni../tatizo mnajikuta wabishi taikuni..mpo bongo kimawazo ughaibuni../mnatamani mgekuwa lildark..lilbaby tatizo haliduni../
Random Lyrics
- emmavie – spirit traveler lyrics
- mageramov & daveed – звуки выстрелов lyrics
- steve aoki – just us two lyrics
- koks – love is a war (abrechnung) lyrics
- dimalamba feat vankopro – дисс на гошу lyrics
- nziria – o dolor lyrics
- aacacia – home away from home lyrics
- jul – pas de panique lyrics
- zanzalane – alcool lyrics
- danger mouse & black thought – because lyrics