kay naksh - ndo basi tena lyrics
nilikuamini nikakupa moyoo
uwe akilini uniweke kwenye moyo
k+mbe hayawani una ulonayoo
ulichoamini nitakufa moyoo
kuna muda moyo w+ngu ulizama kwelii
sikujua mwisho w+ngu mapenzi kamariii
nimepata chaka langu ndio najivinjarii
natawala moyo w+ngu sitaki maswalii
wewe nisahau usinik+mbukeee
nimeshabadili namba bora uzifutee
ulinidharau kwa w+ngu upweke
ukajisahau tembo hashindwi mkonga wake
wewe ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
limebaki jina jina aeehh limabaki jina na upendo sina
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
asiji fakharii asijifakharii
sio umbo wala sura vinavyotakiwaa
tena tafadhali mi sitaki sharii
kamwambie anikomee sitomrudiaa
aaaaa asijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
aaasijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
nimepata mwenzakooooh kashika nafasi yakooo
huliwezi huba zitoo mimi na nenepa mwenzakooooh
wewe ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
limebaki jina jina aeehh limabaki jina na upendo sina
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
Random Lyrics
- violette wautier - ระวังเสียใจ (warning) lyrics
- blaccid - only ft sossa lyrics
- franklin joy - i really need you now lyrics
- hide with spread beaver - ever free lyrics
- coco & clair clair - lamb lyrics
- killteq & d.hash - take it lyrics
- scruffpuppie - exit stage left lyrics
- chaos z - 1981 lyrics
- def rebel - taking it all (solo sikoa) lyrics
- nancy vieira - maylen lyrics