azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kidswahili – covid 16z / corona lyrics

Loading...

hook

hatukai kizembe + 2
tuna piga kazi, (hatuna mbwe mbwe + 2)
kwenye mishe pia tunajikinga na corona
kwenye mishe pia tunajikinga na corona

verse 1

yeah… yeah
unatafta watu  wanatafta dough
watu wanaomba ushindi we unaomba draw
watu wanaona ushindi we unaona soh
haumuombi mungu though ndo maana unaomba poh

ila shoutout to the gang gang
baada ya kazi tuna hang na ku bang bang
kama hatupandi hatushuki tuta maintain
feki shingoni ana ma chain chain
k+mbe ndoto yake awe ki+ben 10

eti pesa sio laki eeh
kwenye party eeh
wakati eeh
nakotoka pesa ni bati eeh
huku jua kali eeh
i’ll make it rain kwa sunny day
iwe rainy day
mungu anijalie
kwa kila nachofanya
maisha yame+change bwana
siku anna na rama
siku hiz anna kwa anna
mawazo yangu mi chanya
ya kwako hasi ina maana
ki sayansi tutagombana
virus na sanitizers
yeah

hook

verse ii

check hizi sixteens
guess i am sicker than covid 19
i just k!lled they dreams
my flow tighter than they skinny jeans
kimewaka know we lit
kimenuka kime+ stink
put the blame on april six
and the streets that raised the kid

came down from mateso
with the dream of balling kama deco
keep my ego low
now your highs be my lows
if you know, you know
na kama ipo ipo ipo
kama ipo ipo ipo
kama ipo ipo ipo ipo + 2

hook

outro

oooooh…. yeah yeah

apri six yeah, hatukai kizembe yeah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...