king kaka – round one lyrics
[verse]
it is i (i)
muliambiwa na who? (who)
ulini-missile osama bin mta-do? (do)
kwa mic mi’ ni mike kushinda sonko (we wacha!)
na na-run nai kushinda sonko (we wacha!)
na siwachi kabisa
si unajua niko na charisma ya e-sir
tangu jo anipe torch na chance (chance)
niko mtaa zote kama odi dance (mashinani)
na mi’ ni m-timeless kushinda noel
na zungusha ka mosquito coil
kuna wale wanachezwa tv na tunajua sio talent
first cl-ss mimi na sio bow wow challenge
dame wako aki ni-meet ndio atakuwa ako kissed
tangu niingie wana-migrate kama wildebeest
kama morning glory i say niko ndani
na na-talk dirty kama maina na king’ang’i
kwani wata-do?
niambie wata-do?
wakuje na nancy drew hawatapata clue
kwani wata-do?
niambie wata-do?
ma-kings wako kibao na simaanishi wengi
yaani wamekunywa na maubao wanaeza afford tu kibao
ndio maana kwa shows wanakula mambao, wametupa mbao
hata ma-queens wao waniletee siwezi wapea hata kama nimembao
Random Lyrics
- morenito de fuego – el truco lyrics
- x-el – what would you do lyrics
- yung gatorade – incest lyrics
- thug team – 4×1 lyrics
- travis karter – makeitback! lyrics
- beast x – this is our life lyrics
- t.h.a.l. (stoner rock band) – reach for the dragon’s eye lyrics
- cloaka company – mc’s de mierda lyrics
- justin young – my favorite lyrics
- written years – superficial feeling lyrics