azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - amani lyrics

Loading...

usiombe vita kwenye amini;
skiliza mcee napo ghani kiotani;
utaik+mbuka sana amani ukiwa vitani;
ukishaivuruga ushike bible na quran;
huwezi kupandisha maruani mashetani bila amani;
kinachoendea pale kongo na sudani;
majanga kama moto na sunami
mkulima ashike jembe bila amani;
wanajeshi wapakae tu mitaani kulinda tu amani;
hakuna mwanafunzi wakukaa darasani hakuna masihara wala utani tuilinde sana amani;
vizazi visije kutu laani tuendako tuikaikosa pia amani



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...