azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap – mtangazaji gani lyrics

Loading...

[verse 1: ksonrap]
mtangazaji miyayusho;
interview nzima imejaa tu ya mipasho;
haniulizi uhalisia wa mtaa
haniulizi kuhusu tozo;vijijini
watu wanakufa tu kwa njaa mafuta gesi bei ya mkaa;
huyu mtangazaji hajafanya hata research hana data hana facts;hajui chochote kuhusu handaki
maswali yakiwaki haniulizi kuhusu nguzo na misingi..hajui chochote kuhusu snare anachowaza ye nikiki;
hatujui hata alisoma chuo kipi
anauliza tu umaku udaku sijui simba kala zuchu
kapost kwenye magroup ya wasapu kote insta fasibuku;..
anataka atrend kwa kufosi matusi,hana hata habari za kuhusu mwabukusi..hajui kinachoendelea ucrein vita ya urusi..hajui niger.. bukinafaso wamefanya mapinduzi;..anauliza tu habari za kipust sijui kuna video za gigy akiwa na jux..
wala hawajui mapioneer waliopigania kwa jasho huu mziki..
inakata sana stim yupo redioni tangu morn ni habara za nai tu na moni,picha za hamorapa kafumwa akiwa ugoni..huyu mtangazaji anajizima sana data mara adam kampiga teke mbasha…
habari anazopenda ni za lokole konk master..
amekosa content ni drama za tanasha hii generation itajifunza nini sasa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...