
ksonrap - nchi yangu lyrics
Loading...
nchi yangu ibarikiwa milima mabonde bahari na maziwa;
ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mpunga mahindi maharage mpaka miwa, uwoto wa asili ;
ufugaji wanyama kama ng’ombe mbuzi na ndege kama njiwa;
historia za machief wakati wa ukoloni nakabla hatujatawaliwa ukija utahadithiwa;
pita bagamoyo zanzibar mpak kilwa;utapata vinjwaji asilia kilimanjaro kuna mbege korogwe kuna ulanzi mn+z+ mpaka piwa;
bungeni kuna siwa, madini yakila aina tumetunukiwa;
hakuna ukabila ukija hauto baguliwa,amani na upendo hauto bugudhiwa;
watu wake majasiri kama kijana majaliwa;
inabidi tuwe wazalendo tulinde nchi mali nisije zikaibiwa;
sio tu flyover ndege za abiria na mizigo zimeisha nunuliwa;
Random Lyrics
- ames - taking up the bed lyrics
- tx2 - loaded guns lyrics
- leyes - suéltate lyrics
- kaput (ita) - 11:11 lyrics
- kidnappa - привычка (habit) lyrics
- лилротя (lilrotya) - огни (lights) lyrics
- chapter 16 - carry on lyrics
- ciaran - back to front lyrics
- playboy zal - как дела (how are you) lyrics
- bidenwiththebars - retard alert 2 lyrics