ksonrap – njiani lyrics
njiani sio pouwa njiani kunavituko
njiani kuna milupo njiani kuna machoko
njiani kuna watoto wenye kiburi
hawajui mwisho wayote nikaburi
njiani nimekutana na mabaya na mazuri
nimepita njia za hatari mchana jua kali
bila ya mti wenye kivuli njia chororo kali
nikakutana nakabali yani roba ya mbao mixer misumari..
nimekutana na mateja alosto kali
kuna mapusha vijana hawana kazi wanacheza tu kamari hatari..
niona makatili wanapora majerui
ajali..nimeona manabii wauongo wanahubiri wazipate tu salari.. police nao wan+z+finya sana hongo dili za michongo dawa za asili mkongo..
kuwengeni wanamsongo wamawazo..
wengine wamelogwa wanaokota tu makopo…
njiani hali inatisha vibinti vinadanga..
giza limetanda chozi linatoka wengine wamezaa nakutupa tu vichanga..
kijijini hakuna umeme wala maji mbunge wenu yupo huku town anatamba..njiani kunavisa na visanga machinga hana mtaji bado anajichanga..akizipata mgambo kwenye jiji vitu vyake anavimwaga..
Random Lyrics
- insane clown posse – riddle box sampler lyrics
- owlordie – i’m ready lyrics
- arctic rain – peace of mind lyrics
- chef 187 – ba yubu lyrics
- enforced – ultra-violence lyrics
- comando negri – eu nasci há 10 mil anos atrás lyrics
- various artists – historiaa (mennyt mies) lyrics
- jasby – do you accept? (extended) lyrics
- lil scxars – frogot my meds lyrics
- mati justi – te tengo mal lyrics