kwaya ya uinjilisti kkkt arusha mjini – kila mtu atauchukua mzigo wake lyrics
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kwa maana sote tasimama mbele ya kiti cha huk#mu
hapo atakapokuja mwana wa mungu
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
mbona wamhuk#mu ndugu yako natusihuk#miane
kama ndugu akikasirika mrejesheni kwa upole
mchukuliane mizigo kwa upendo
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
mtu aipime kazi yake mwenyewe
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
Random Lyrics
- taixchi – smooth water lyrics
- motives – death throes lyrics
- wavy blizzard – someday lyrics
- uverworld – 無意味になる夜 (meaningless night) lyrics
- john craigie – ego tripping at the gates of hell lyrics
- israel & rodolffo – deus me livre, quem me dera (ao vivo) lyrics
- zach zoya – despair lyrics
- village people – fire island [live and sleazy] lyrics
- acxdc – hipler youth lyrics
- kaleth morales – reina de mis sueños lyrics