azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

luffa – level up lyrics

Loading...

intro ( super )
time to level up!
pray! mungu ana bless up!

verse 1 ( conboi )
my tummy tatts got me feel pac my n+gga
na nnachotema ujue ni facts my n+gga
i keep hood i dont f+ck with alota n+ggas
nishapitia so much pain wala sijawahi to complain
let me explain jinsi ambavyo maisha yanakwenda
ukiyaanza ka’ sensei no retreat no surrender
tulipoianza walipenda na walitupa hadi advice
na mengi about this life ila sio kama walitupenda right
baada tuu ya mafanikio kidogo
wanaanza kuwa wabaya wanatupakazia uongo
wanafanya lolote ukose mchongo
lakini hakuna kitu inashindikana juu ya udongo
we going harder akili pia iko smatter
n+ggas watch how i move i ain’t lose kama sean carter
im doin bigger , i got seven figure kwenye plan
so sitaki kelele na hawa mambwiga
alotta sh+ts left me scars na sio mzaa
nilikotoka ujue ni mtiti i need to protect my heart
f+ck you n+ggas tryna hate its not okay
f+ck the facebook i need my sp+ce
chorus ( super )
time to level up…
( every day we sin yeah, mwisho wa siku we pray)
mungu ana+bless up….
( pray to god before we sleepin, nifike siku nyingine) #2

verse 2 ( super )
hii ni mtu be kama parklane
huku bino huku big boy and we got bars kama kilo
i swear this sh+t is gonna sell (yeah!)
ukileta vindo ni vishindo kuna vlone kwenye beat bro
i swear this is not fugazy (yeah!)
we tell the truth ain’t no fairytales
ka’ nikiwa mtaani vitani its not a place to play
hakikisha umeaga nyumbani before you come out here
niko kitaani mwanangu saa mbovu yuko pia
na pia hatuna fear
ka unajijua we’ ni hater unakanyagiwa
i keep my circle too small you dont belong here
na wananiita mdanta because i was born here
and i been swimming with the sharks
nikiibuka ni hatari
usijifanye unanijua kama hunijui kiundani
nishapitia maisha
namjua shetani ni nani na snitch ni nani
snitch sio tekashi ni flani, am rolling exotic
kama hujanijua kaa mbali
na usidiss kidigitali my n+gga
tukutane mtaani i swear
kama mbwai ni mbwai
ninaemhofia ni mungu tu na wala sio kiumbe hai
tumekutana skani eti unauliza mkubwa ni nani
alafu nishafanya vitu vikubwa ata mwenyewe hufanyi
mwisho wa siku uje kuchapika mjuba
epusha tu shali
na hii fani kwetu ni kazi si’ hatutaki utani
tunachojua ni kukaza hatusubiri zali
u dig?!
chorus ( super )
time to level up…
( every day we sin yeah, mwisho wa siku we pray)
mungu ana+bless up….
( pray to god before we sleepin, nifike siku nyingine) #2



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...