
maddoh - lofa lyrics
#lofa vers 1
sura yake ya malingo mtoto yuko bingo maji ni ya shingo hoyi
huba lake ni kifungo ka ni nasa ulimbo imekanda na si cho moi
penzi kidonda sugu kinani sumbuaaaa
yeye ndo w+ngu tabibu hawezi kuniumbua
#kibwagizo
ilo tabasamu tu uki nangalia machoni
moyoni nna wivu usije niacha kwan
#corus
ujuwe me ni lofa e baby baby iiiii
mi ni lofa e he he he
nana nana na na naaaa
ujuwe me nilofa e he he he
baby baby iiiii
mi ni lofa e
he he he nana nana na na naaa
#vers 2
mkali wa mitindo si wa maskendo hapendagi zogo mpole
anipapasa kwa shingo afande niko lindo
ondoa shaka baby dont worry
sura ya mama umbo la wama kw+ngu unaniacha mi hoi
nikubembeleze mamaaa we nipe sana chumbani valangat si poi
#kibwagizo
ilo tabasamu tu uki nangalia machoni
moyoni nna wivu usije niacha kwan
#corus
ujuwe me ni lofa e baby baby iiiii
mi ni lofa e he hе he
nana nana na na naaaa
ujuwe me nilofa е he he he
baby baby iiiii
mi ni lofa e
he he he nana nana na na naaa
Random Lyrics
- agnative - straight gate lyrics
- lil genie - be alone lyrics
- sewerperson - a lyrics
- cahleh - twilight lyrics
- set for tomorrow - purgatory lyrics
- skylar grey - no pressure lyrics
- skelator - elric: the dragon prince lyrics
- she's alaska - buzzcut lyrics
- lil pouty - close to edge lyrics
- ai higuchi - 東京にて (tokyo ni te) lyrics