mbosso - amepotea lyrics
amepotea lyrics + mbosso
vipeperushi vinasambaaa
eti natafutwa
nimepotea, wiki imekata
ndugu wamechachamaa
wananitafuta
nimepotea mwezi imekata
kazini sionekani
yupo wapi huyu
simuni sipatikani
yupo wapi huyu
baba kaniuoizia
yupo waapi huyu
mama haishi kulia
yupo wapi huyu
mimi, nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
sio mwana rahabu mlomkuta tanga
sijafanywa msukule msipate tabu k+maliza waanga
amenirudisha shule hesabu maumbo kupanga
penzi lawa sasa mbule lenye protini vitamini na w+nga
aaah ladha yake, si sukari
ni vichenza na malimao
mechi zake huwa hatari
ni chenga na mabao
kazini sionekani
yupo wapi huyu
simuni sipatikani
yupo wapi huyu
baba kaniuoizia
yupo waapi huyu
mama haishi kulia
yupo wapi huyu
mimi, nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
(msinitafute, msihangaike)
nimezama katika kina
kirefu cha bahari ya mapenzi
nipo salama mimi, nipo salama mimi
msinitafute niko salama mimi
Random Lyrics
- nezzy official - shovelhead lyrics
- spectre0799 (youtube) - waves lyrics
- terror in haddonfield - camp crystal lake lyrics
- kazhai, spikykid - candy girl lyrics
- мы (we) - перемотать (rewind) lyrics
- leap (uk) - one million pieces lyrics
- latin funk - uno, dos, tres lyrics
- generationals - eutropius (give me lies) lyrics
- cici ware - calculate lyrics
- fieraa - conexión lyrics