menace himself – jinga sana lyrics
[intro]
eeh
good at being bad
menace himself
cheki
[verse]
jinga sana acha ku kazana
kazi ya kizazi ndio mi napendaga sana
sitendi wema, naenda zangu bana
teka msupeng’ na umpeleke na rada
alafu siku izi niko rieng
kutoka nianze mboka, mf+ko nina ma weng’
na nina vifaa wenye nashindaga na beng’
ninamaanisha mchezo ya mjulubeng’
aah aah, na mi stambuagi cool kid
mtaa imenilea hainaga iyo upuzi
nyima nyemelea, tabia hiyo sijui
orea aina hiyo ndio mi naitaga ngui
nammengoja hii kitu sana
tulia uskizie menace na club banger
ni hivo wathii
hii namalizia hapa, na naamini round next tuta patana
jinga sana acha ku kazana
kazi ya kizazi ndio mi napendaga sana
sitendi wema, naenda zangu bana
teka msupeng’ na umpelеke na rada
alafu siku izi niko rieng
kutoka nianze mboka, mf+ko nina ma wеng’
na nina vifaa wenye nashindaga na beng’
ninamaanisha mchezo ya mjulubeng’
Random Lyrics
- jtjm studios – life is hard lyrics
- mil-spec – where i was from lyrics
- justa causa – incógnita lyrics
- darkest era – blood, sand and stone lyrics
- heisenberg – bad chick lyrics
- timor ysf – estrelas lyrics
- boys world – please hold lyrics
- anja bigrell – skatorna lyrics
- glendal tautua – hold it down lyrics
- kauz – kassandra komplex lyrics