mimi mars – kodoo lyrics
kutwa kuchaa niko nae
kwenye shida na raha niko nae
si subutu hata kuachana nae
akinuna me nacheka nae
natamani hata hii dunia ingekuwa yangu
nikupu wewe (nikupe wewe)
na kama wapo wengine wasiotaka mimi nikupende (nikupende)
acha watutolee macho macho
macho kodoo
macho, macho, macho kodoo
acha watutolee
macho (kodoo) macho,macho kodoo
macho (kodoo) macho,macho kodoo
nakupenda balaa (balaa)
na vile unanyyodenda balaa (balaa)
yani tunapendana balaa (balaa) mi love, mi love
na tena nishawambia umenishika ah
tena umenishika haswa
hata ukinigusaga nafurahi
unanijulia sita kwa sita sasa
maji yamenifika hapa
safari nafikaga na ndo maana
natamani hata hii dunia ingekuwa yangu
nikupe wewe (nikupe wewe)
na kama wapo wengine wasiotaka mimi
nikupende (nikupende)
acha watutolee macho macho
macho kodoo
macho macho, macho kodoo
(acha watutolee)
macho (kodoo) macho,macho kodoo
macho (kodoo) macho,macho kodoo
simuachi… simuachi, simuachi
simuachi… simuachi, simuachi
acha watutolee macho macho
macho kodoo
macho macho, macho kodoo
(acha watutolee)
macho (kodoo) macho,macho kodoo
macho (kodoo) macho,macho kodoo
Random Lyrics
- turo shawty – plany lyrics
- vaiko eplik – see pole nii lyrics
- ilyaugust & jakey krumm – red light (tik tok) lyrics
- jvke – golden hour (slowed to perfection) lyrics
- sermon – wake the silent lyrics
- #kyraka – рассвет лентяя (dawn lazy) lyrics
- 100 proof (aged in soul) – backtrack lyrics
- the j arthur keenes band – pierre lyrics
- tvill – rock flow lyrics
- zay kenne – pour sumn lyrics