miriam makeba – malaika (live) lyrics
[intro]
we’d now like to take you to tanzania
[verse]
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
ningekuoa mali we, ningekuoa dada
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
pesa zasumbua roho yangu
pesa zasumbua roho yangu
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
kidege, hukuwaza kidege
kidege, hukuwaza kidege
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
ningekuoa malaika
malaika, nakupenda malaika
malaika, nakupenda malaika
nami nifanyeje, kijana mwenzio
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
nashindwa na mali sina we
woo. ningekuoa malaika
ningekuoa malaika
ningekuoa malaika
Random Lyrics
- ymn rxn – mad now lyrics
- billy strings – know it all lyrics
- ripsi winelover – worldwide choppers lyrics
- rod wave – blame on you lyrics
- mark edwards – hairy chest lyrics
- чистая муть (chistaya myt’) – точно нет (exactly no) lyrics
- yahnation – ugly lyrics
- die hoffnung – ahab welcome to hell lyrics
- tacica – カナリヤ (canary) lyrics
- donkawoyan – bandolero 2 lyrics