azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

mwanafa – hawajui lyrics

Loading...

oooh uuhh uhh ooh
lady jay dee
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza?
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza?
oooh uuhh uhh aahh aaah

mwana fa & lady jaydee
yeah
suruali zinanifunguka vicheche vikikatisha
mshahara ukitoka sirudi mpaka umekwisha
nikirudi nane ya usiku,nalala na viatu
chichache kali sik+mbuki hata ndoa yetu
nikiwa na wewe moyoni napata aibu
ukisoma macho utajua navokughiribu
sikawii kuharibu,nakosa sana adabu
nakushangaa mwanamke una moyo wa ajabu
(lady jaydee)
siwezi kukuacha la aziz,mwenyewe siwezi ishi
tuliumbwa wote mpenzi weeewe uishi na mimi
(mwana fa)
umefunzwa utotoni,unefundwa unyagoni
kulea mwanamme lakini sio kama mimi
usiku uliopita nimekupa ngeo mdomoni
asubuhi ulipoamka ukasema umeniota mimi
una mapenzi hata shetani angeyaogopa
sirudishi hata robo ya unavonipa
hata washkaji zangu wanakiri kuwa sikufai
kama ni adhabu nastahili nizikwe hai yeah
chorus: lady jaydee
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza?
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawatawеza?
oooh uuhh uhh ooh
haaaa aaah aaah
verse 2: mwana fa & lady jaydee
yeah yеah
amani bila silaha niache tuu niende la aziz
usione huruma bado siyawezi mapenzi
me kicheche huniwezi usiogope kuniacha mpenzi
(lady jaydee)
kukosea ni uninadamu hakukuvui thamani yoooh
(mwana fa)
watoto wa nje kibao,tena wasio na malezi
na matusi ya mama zao yote huja kwako mpenzi
nini unanipendea mwanamme nina sifa mbaya
rafiki zako wote wananiita malaya
napenda uwe na mume lakini sio mimi
sitaki tuachane nakuomba uniache mimi
hustahili uchezewe,sistahili kuwa na wewe
umefanana na utulivu uwekewe ndani na uolewe
(lady jaydee)
waweza mkuta firauni peponi
taulo langu niendapo bafuni
nauli yangu niwapo safarini
usieeeendee mbali na mimi
(mwana fa)
kw+ngu u malkia,kwa vile cheo kingine chochote hakitakufaa
naamini utanisikia,kwa vile unanizimia
hata upewe dunia hautakaa kunirudia
chorus: lady jaydee
haaawajuiiii iiiii.. hiii
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza?(hawajui hawajui)
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?(hawatawezaa,hata siku mojaaaa aaah)
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza? (ooohh)
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda? (mmmhh)
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza? (ooohh)
hawajui tulipotoka watajuaje tunapokwenda?
ya kwao yanawashinda yeeetu hawataweza?
mmmh mmmh mmmh mmmh
jay dee na binamu pamoja twawakilisha haoo
yeah binti machozi yeah na binamu one three
toka ages complex i see you boy
aaah aaah aah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...