n.c.r (not a christian rebel) - hapo lyrics
verse 1
nasema nimeokoka, namfahamu yesu kama mpenzi maishani
na form ikitoka, si unajua furahiday (friday) leo katanuka
yesu ni bwana, ila hawa warembo vile nawahangaisha
nananana… naaa aah…
kwa uwepo wako napenda, ya zamani sitaki
your love is sweet and tender (your love is so sweet)
nimeokoka shetani, hauna nguvu tena (he’s a liar)
nibaki kwako jalali nisijifiche kama (mandela)
niwe hapo na wee…
pre-chorus
popote niendapo, uwe hapo nami
na chochote nifanyacho, uwe hapo nami
i say popote niendapo ooh, uwe hapo nami
na chochote nifanyacho (chochote nifanyacho)
i say chochote nifanyacho eei aaah ah
chorus
(i wanna be where you are, where you are
i wanna be where you are, hapo
i sing a song say a prayer and i mean it
i wanna be where you are, hapo)-2
verse 2
(mambo ya dunia nimepata ni mengi
na bado yaumiza sana
bila uwepo wako nitapata kufeli
kuja uniokoe)-2
mitaani wanaslay (issokay)
swag yao ni kukata waba
na hawa wasanii (o yeah)
hawasifu ni kusaka chapaa
leo mi mtoto kesho nina w-ngu
ujana w-ngu moshi utapita tu
ila ombi langu moja tu
naomba aaah
chorus
i wanna be where you are, where you are
i wanna be where you are, hapo
i sing a song say a prayer and i mean it
i wanna be where you are, hapo
i wanna be where you are, where you are
i wanna be where you are, hapo
i sing a song say a prayer and i mean it…
bridge
popote niendapo, uwe hapo
i say chochote nifanyacho, uwe hapo
i say popote niendapo, oh yeah
uwe hapo ooh oh
chochote nifanyacho
na ni dalian day k_lax
chorus
(i wanna be where you are, where you are
i wanna be where you are, hapo
i sing a song say a prayer and i mean it
i wanna be where you are, hapo)-2
Random Lyrics
- i giocattoli - verde lyrics
- prezzykrane - calling you lyrics
- trapstreet saddi - religion lyrics
- rasmus faber - what do you do lyrics
- avem - how i got my wings lyrics
- 24/7 - better than me lyrics
- limbs(us) - bones lyrics
- doist - a fúria lyrics
- marina iris - avenida réveillon lyrics
- obladaun - fata opopsevana lyrics