azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nadu – huwezi jua lyrics

Loading...

[intro]
mhhhhh
huwezi jua ulicho nacho
nataka ufungue macho

verse 1:
ulisema ni mimi pekee
nikakupa
moyo w-ngu
(si mulikua na ndoto kubwa)na
(raha mstarehe )na
maisha milele mpenzi mimi na yeye (kwanini)
sielewi
kwanini (nieleze)

chorus:
mapenzi chanzo cha raha
mapenzi chanzo cha diki
mapenzi chanzo cha raha
mapenzi dhiki x2

verse 2:
uliniacha mashakani
gizani
ukatoweka
bila sababu
(na vile mlikua na ndoto kubwa na ataka umsamehe)
na siwezi rudi tena mi nishasonga mbele
(kwanini) sirudi nyuma
(kwanini) nimechoka

chorus:
mapenzi chanzo cha raha
mapenzi chanzo cha diki
mapenzi chanzo cha raha
mapenzi dhiki x2

bridge:
mhhh mhhh mhhhh
huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee
nataka ufungue macho nikuelezee
huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee
nataka ufungue macho nikuelezee
huwezi jua ulicho nacho mpaka kipotee
nataka ufungue macho nikuelezee



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...