nandy – yote sawa lyrics
mimi sio kama wale
walopita zamani mpenzi
ooh niamini mwendo uwe sare
usije nicha njiani mpenzi
kule niliona mazito
penzi lilikuwaga la mpito
kulalama kulichosha koo
ila nashukuru ilinikomaza roho
licha ya kuitoa mchangani
sikuacha kujipa imani
j+po mengi yalinikata maini
nikaliwazua na msondona
uzuri haupotei ramani
ubaya hauvaishwi miwani
nikachoka madongo ya gizani
na mateso ya sodoma
yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
yote sawa, wouuh
yote sawa (yote sawa)
tafsiri ya penzi sio kitanda tu
ina mengi juu yake ni mapenzi
sio kama sioni na sio ushamba boo
kuna wengi niwafuate
nilijaribu nilipoweza kufanya
haikuonekana kw+ngu ikawa aibu
kunichombeza kwa sana k+mbe ananidanganya
licha ya kuitoa mchangani
sikuacha kujipa imani
j+po mengi yalinikata maini
nikaliwazua na msondona
uzuri haupotei ramani
ubaya hauvaishwi miwani
nikachoka madongo ya gizani
na mateso ya sodoma
yote sawa, mapenzi mboga nachaja jamaa
yote sawa, nimeshapata shuruba yakaniumiza
yote sawa, wouuh
yote sawa (yote sawa)
Random Lyrics
- javiere inniss – tonight lyrics
- ibys maceioh – medalha de ouro lyrics
- soulscrap – 404 lyrics
- idol (rapper) – achtelfinale vs. serious’m lyrics
- seraphin – about last night lyrics
- dear elise – disassociation lyrics
- hồng thanh – yêu ai cũng vậy yêu dùm anh đi lyrics
- hayley westenra – mother of mine (mama ni sasageru uta) lyrics
- audax the damsel – rapunzel lyrics
- dahel – oggi no lyrics