azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nandy – yuda lyrics

Loading...

(kimambo on the beat)
nimemyosha w+ngu yuda
vyake vitamu najipakulia
kungwi nimefundo
wake ma ex ndo wanaumia

walisema limevunda
sasa jikoni ndo linanukia
ye ndo w+ngu kiti
tena hachoki nikimkalia

na tena siku hizi nanenepa nanawiri
yamenoga mapenzi na yameshamiri
anipa vidogo na vikubwa tamu sio shubiri
nyumbani k+menoga huniponza mwili

ananilete chumbani, nikoleze w+ngu hunnie
tunacheza kibaba mama, kibaba mama
wakienda vitani sisi tuko nyumbani
aniteach inama, inama inama

n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao
kanipa sikio ananisikiliza
malumbano ndani hana
nimepitisha f+gio na hawezi kuniliza
mashindano ndani hana
nimefundishwa na mama, k+mlea bwana
akitakaga nyama, nampaga na tena

ananilete chumbani, nikoleze w+ngu hunnie
tunacheza kibaba mama, kibaba mama
wakienda vitani sisi tuko nyumbani
aniteach inama, inama inama

n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao
n+z+waume roho zao



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...