azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

nyashinski – mungu pekee (only god) lyrics

Loading...

sijui kaa nitaona kesho
kaa ningali na uwezo wa kuifanya
nitaifanya hadi mwisho,

mwambieni huyo devil,
simwogopi shetani sir god yuko nami hadi kifo,
kaa nitaona kesho nipe nguvu na uwezo wa kijana,
na akili za mzee,
daima niwe, imara wasiniangushe,
naona saa kila siku ni zawadi toka maulana,
so haja gani ushike tama maa,
majaribu huisha oh ya eeeh,
na ata kaa maadui zangu watashikana na zao njama siwaogopi,
na nasimama mama, ya kiama yao yaja eeh
hiyo ndio pace nasonga nayo,
wanashangaa hakuna stress, nakuanga nayo,
naishi sawa sina kesi mahakamani au deni
za majirani niko fresh nje na ndani oh yah eeh,
namwogopa mungu pekee,
mwanadamu akija kunitafashi naomba mungu unitetee,
maneno yao yasiniumize nifanye sugu wewe
wakitry kunitisha naomba nisitetemeke
i know you love me know you love me eeh
so i dont fear n-body but you know i know
(nisitetemeke) x2
ah siamini jo juu vile naishi life ni ngumu kuamini
hii si ndoto, sijui vile kesho itakaa kwa hivyo
leo nitaifanya kaa kidogo huwa hairidhishi roho,
yaani sana tena sana ata wale wananichukia
wananiheshimu bruh me si kidogo,
uh sibabaiki nikisikia mkiongea n-z-di kuwapa mi kisogo
na kama saa sisimami, sitaki life iniache mataani
mtaani mwenyezi nichungie familia,
yangu na pia za wale wote sauti yangu wanaisikia,
tupe afya nzuri na maisha matamu
barabara zinyooke waone mfalme ni wewe
(wa kupewa shangwe x2)
i pray we me and my people we never die
say we live forever and forever we multiply
and wherever we go ni nini wanaweza nishow
hata kaa sina kitu, uko na mimi kila siku
kila siku wewe pekee



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...