otile brown – yule mbaya lyrics
moyo w+ngu aliumiza vibaya n+n+surika kua hai
n+n+surika kua kua hai na kidonda ndugu
alionipa kina maliza tu dawa katu hakiponi ooh akiponi!!
ila k+muacha ndio siwezi moyo umemchagua
yeye j+po najua hanipendi kua naye sitaki
ila sina budi moyo unamuitaji
(nampenda anajua ndio mana anajisheua moyo
una kina kirefu kilichonieka kwake ndo sijaelewa×2)
(aaghaaghaagh haya mapenzi hayana macho
aaghaaghaagh masikini moyo w+ngu kapenda mahala sipo x2)
(yule mbaya ndo nimpendaye
yule mbaya ndio nimtakaye
yule mbaya ndio nimpendaye
nafsi mtumwa wa moyo x2)
kweli nafsi mtumwa wa moyo
niliishia k+mk+mbatia nilipomfunia wazi wazi na jamaa
aliporudi nikampokea ila akanizuga tena na tena
mdomoni mchungu ila nimeshindwa k+mtema
(sipougenini ila ni kweusi anachothamini
fulusi tatizo mimi mfupi vyangu vyaliwa kichwani x2)
(aaghaaghaagh haya mapenzi hayana macho
aaghaaghaagh masikini moyo w+ngu kapenda mahala sipo ×2)
(yule mbaya ndio nimpendaye
yule mbaya ndio nimtakaye
yule mbaya ndio nimpendaye
nafsi mtumwa wa moyo ×2)
Random Lyrics
- almo (usa) – strong have fallen lyrics
- aupinard – tous les jours lyrics
- evan m. – i love you™ lyrics
- dm stith – in the glare lyrics
- jack hardy – before you sing lyrics
- amv. – не понимаю! (i don’t understand!) lyrics
- daddy andre – juliana lyrics
- holyweed – в поисках (looking for) lyrics
- a. nolan – come back, paddy reiley lyrics
- jahmal tgk – ещё по колпачку (more on the cap) lyrics