prof. jay - nang'atuka lyrics
Loading...
yeah
napiga goti natubu
kwa mungu w+ngu na jamii
nimefanya mambo mengi
kwa kutumia cheo
naamini cheo dhamana
nisamehe nisamehe
nang’atuka nimeshaikosea jamii nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
mwenyeenzi k+mbuka na nafsi hii
napiga goti natubu daima nitakusihi
nang’atuka nimeshaikosea jamii
nikajiita mungu mtu nikajiita nabii
muda sasa umewadia ndugu zangu watanzania
mambo niliyoyafanya hayapaswi kusimuliwa
tangu nilipoomba kura kwenye ndio mzee
mkanipa na kusababsha uchumi ulegee
kura zikawa kula nikaishi kwa mlungula taratubu nikaanza kubadili mfumo na sura
nasisitiza sana masuala ya ajira
k+mbe uongo nikaanza kugawa vyeo kwa hila
hata mashori w+ngu niliweka mataahira na kusababsha uongozi w+ngu upoteze dira
Random Lyrics
- suicidal-idol - ecstacy (super slowed) lyrics
- moe phoenix - heute nacht lyrics
- fuxkcy - save me im all alone. lyrics
- димдэкт (dimdekt) - живёшь со мной (jivesh so mnoi) lyrics
- vegas (rus) - нытьё (whining) lyrics
- tyrtarion - horatius: ad neobulen lyrics
- soser - time gone go lyrics
- death's last dance - grim doesn't know how to slow dance lyrics
- kommtnbus - kaffeefahrt (live-version) lyrics
- dyolow - when it's over lyrics