azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

raptor el shariff – basi lyrics

Loading...

intro

licha ya k+mthamini
akaona mi simfai
sababu ya yule mwafulani
ndiyo maana anajidai
mara atanitukana mara ataniblock
hivi matusi ya nini?

haya yangu machungu
moyo w+ngu mi mchungu
liko wapi langu fungu?

siwezi jibizana ila namwachia
mungu
yeye ndiye mwenye huk+mu
kwenye mapenzi ya kudumu

chorous

basi ,oh basi!isijekuwa mikosi

outro

hivyo vijikokopa ya nini masimango?
mwili unakondakonda ndiyo kwanza bado
oh basi , basi acha niende zangu mama
ndugu zake nawafahamu akina sadamu
ila walinitoka hamu waliponipanga kwa zamu
oh basi, basi acha niende zangu mama



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...