rayvanny – vumbi lyrics
vumbi lyrics
[intro : rayvanny]
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
yani tunazoa zoa
[verse 1 : rayvanny]
mwaga jasho miguu iwake moto
timua vumbi timua
kisigino kibebwe na ugoko
timua vumbi timua
ruka ruka tuziamshe popo
timua vumbi timua
vua shati ukisikia joto
timua vumbi timua
sa tuna kisanua (vumbi)
tunawachafua (vumbi)
tunawapa mafua (vumbi)
vumbi timua vumbi
tunakata fumua (vumbi)
wakizingua (vumbi)
tunawapa mafua (vumbi)
vumbi timua vumbi
wanatukimbiza wasafi eeeeh!!
wapo makundi makundi
lakini hawatupati eeeeh!!
tunawaachia vumbi!!
[chorus : rayvanny]
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
[verse 2 : diamond platnumz & rayvanny]
ooh! kama mashine yakoboa mpunga
timua vumbi timua
sunami changanya na kimbunga
timua vumbi timua
gwaride la jeshi (timua..!)
embu changa simenti (timua..!)
chana jamvi kapeti (timua.. mama!)
timua vumbi timua
leeee leleee
timua muchanga
kama unalicheza vanga (leeeeleee leee)
mzuka ukipanda
vua shati kama mw-nga (leeee leleee)
leeee leleee
timua muchanga
kama unalicheza vanga (leeeeleee leee)
mzuka ukipanda
vua shati kama mw-nga
asa kachili saga (saga saga)
kamatia zaga (zaga zaga)
isugulie gaga (gaga gaga)
kinaga ubaga
twendee timua…!
[chorus : rayvanny]
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
timua vumbi timua timua vumbi timua
[outro : rayvanny]
mwendo kama farasi (ooooh ooooh tunawatimua timua)
twawatoa kamasi (ooooh wanaugua na mafua)
mwendokama farasi (ooooh ooooh tunawatimua timua)
twawatoa kamasi (ooooh wanaugua na mafua)
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
yani tunazoa zoa
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
kimbunga hichoo
tunabomoa bomoa
kasi kama risasi (ooooh ooooh)
tuko nduki kibati (ooooh ooooh)
hawatukamati (ooooh tunawatimua timua)
[outro : ]
shika asa kitimue (timu timu)
yani chimba (timu timu)
f-kua f-kua (timu timu)
chimba chimba…. eeeh!!!
vidole chepeo (timu timu)
kiuno mpini (timu timu)
fanya kama kolea (timu timu)
if-kue kwa chini
anza tena!!!!
Random Lyrics
- wynonna – maybe your baby’s got the blues lyrics
- popcore – clarity lyrics
- francesco de gregori – la ballata dell’uomo ragno lyrics
- mute choir – familiar ways lyrics
- attaque 77 – resistiré lyrics
- ramones – i want you around (ed stasium version) lyrics
- nikitaman – gestatten lyrics
- jane decker – higher lyrics
- cosmo’s midnight – it’s love lyrics
- abreu – grindaa ja flowaa lyrics