reuben kigame na sifa voices – nitainua macho yangu lyrics
Loading...
nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada w+ngu watoka wapi
_ninajua ni kwake bwana_
anilindaye halali
ninajua hasinzii
nitokapo niingiapo
kweli najua ninajua yuko nami
nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada w+ngu watoka wapi?
ninajua ni kwake bwana
yeye ni bwana wa mabwana
yeye mfalme wa wafalme
mshauri wa ajabu
kimbilio maishani
nitainua macho yangu
nitazame milimani
msaada yangu watoka wapi?
ninajua ni kwake bwana
Random Lyrics
- $!at, emma bedsted, mille rynord – acapela lyrics
- super beaver – まちがえた (made a mistake) lyrics
- michael jackson – butterflies (michael a cappella) lyrics
- k-low – leave lyrics
- murli – john coffey lyrics
- rich kreflo – back to rose grove lyrics
- shiki quentrell – “move” lyrics
- ryan parker – election year lyrics
- jon williams – ten times lyrics
- midnight thoughts – living like a ghost lyrics