azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sat-b – niko bien lyrics

Loading...

niko bien lyrics by sat+b

verse 1
eti siku hizi nangangana
ukiniona unaficama
jina langu likitajwa unashtuka
presha inapanda unaanguka
una anguka wazimia
mtaani wanashangiliya
wengi wao uliwaoneya
na maisha yao kuwa haribia
nilimuomba mungu mi hekima
akanijalia akaniazima
sasa nina deal na watu wazima
don’t panic pindi unapo niona

chorus
nipe wire wire
nipe wire wire
niseme nao nao
ni deal nao (x2)

ni satura
mbona niko bien
maisha mafupi
aca niwe bien
le marechal
mbona niko bien
oui le king
mbona niko bien
hook
kale katoto ka jana
kale katoto ka juzi
kanajifanya kamekuwa
hakana adabu
hakana heshima (x2)

verse 2
ukinita mbwa
ukinita dogo
ukinita doggy
yote poa tu
hayo ni maneno
nyuma hayanirudishi
kama unavo juwa
kwanza haunilishi
baba badi eeh
baba badi eeh
wambiye wadau w+ngu wasitishike
wasiridhike washughulike wazitafute
wajilinde na ma dharau
kamwambiye mama kama bado
mapambana bado najituma
j+po wana bana
ukiwaona masela w+ngu waku bata
uwambiye asalam alеyk+m
maisha mserereko
juzi alipata yulе
jana nikapata mimi
kesho itakuwa wewe
don’t worry
chorus
nipe wire wire
nipe wire wire
niseme nao nao
ni deal nao (x2)

ni satura
mbona niko bien
maisha mafupi
aca niwe bien
le marechal
mbona niko bien
oui le king
mbona niko bien

hook
kale katoto ka jana
kale katoto ka juzi
kanajifanya kamekuwa
hakana adabu
hakana heshima (x2)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...