sauti sol - set me free (interlude) lyrics
[dialogue: bien+aimé, savara and (others)]
lamba mchanga ya france mara ya kwanza!
(lakini uko na addiction, nyamaza!)
(tumekuwa tu…tumekuwa tu…)
([?]) (hahahaha)
wewe! (wewe! eh!)
[?]
the thug life chose you! (the thug life chose me, hahaha)
the thug life chose you! (tunaweza weka hio story archive…)
huu, huu n+gga, cheki…
[intro: chimano]
ehhh
ehhh
ehhh
[verse 1: sauti sol]
hivi bado nak+mbuka, nikiwa kijana
ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana
na wasichana walinipenda, wengine walinikataa
na hapa nilipoamka, sikulala jana
napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana
na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana
na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani
wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasaniii tuliponea (eh!)
[chorus: sauti sol]
naomba (naomba) nizidi kijana
naomba (naomba) nizidi kijana
naomba (naomba) nizidi kijana
won’t you set me free, nizidi kijana?
[verse 2: sauti sol]
kaja facebook kaja twitter, kaja pia na instagram (ooh)
wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana
na walitesa, tesa
wazungu wanasemanga ati business and pleasure
inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure
wasanii tuliponea
[chorus: sauti sol]
naomba (naomba) nizidi kijana
naomba (naomba) nizidi kijana
naomba (naomba) nizidi kijana
won’t you set me free, nizidi kijana?
[outro]
wait! wait! wait! (oh my god)
i can’t feel my legs, guys
(so…)
Random Lyrics
- braydentv - tear me out lyrics
- methwitch - crimson halo lyrics
- braine tha lyricon - bonjour lyrics
- b. fisher - walks lyrics
- עוזי פוקס - ein lach ma lidog - אין לך מה לדאוג - uzi fox lyrics
- 50 hertz - fotbolls-em sm-guld lyrics
- jaydayoungan - step lyrics
- maria chic - eu te amo assim lyrics
- mr. bruh moment - my dick is stuck in the blender lyrics
- radio 105 - wow freestyle (feat. madman) lyrics