azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shetta – mdananda lyrics

Loading...

nahamini upango wa molha, uwezi pangua, yeye ndiye anaye juua
hivi ningejua jinsi alivyo kuwa kwanini mungu akimchukua
nasema simtaki
si rafiri
rafiki gani mnadaaah

anapenda ku dance ana kazi huyu jamaa
na mastaa kazhaa kwenye jina ndani ya dar
sini kaja, mi mzao wa dar na nikashuka kwenye mataa
nashangaa na mateke nimezidiwa jamn
mashaka alikuwa kando
nilihisi mchizi bknge la mwanaa
aaah eeeh k-mbe mgambo
vitani awezi kushika zana
ah kweli kufa kufaana
nimemini ya leo sio ya jana (wee ya leo sio ya jana)
bora kufa na ujana
ila laah ya dunia ni tamuu sanaaah
hizo sekunde na dakika bora zingerudi nyuma
niwe bonge la bitose ata salamu ninge chuna
mbio zimehonga ukuta kusashuka na mateke nimeruka, nimeanguka siwezi tena nyanyukaaaah
ata ata shabaa nilitonya wewe ni rafiki baah
nikapuza na mzee wa kitaa
geto la dastamini nikalikataa
niliisi kama na banwa
kwelii
sasa na wewe nilie kuelewa miaka mia na feel pain
ulidaiwa siku sita kukulipia mastaka
iweje leo uniingize mkengeni?
nasema simtaki
si rafiki
rafiki gani mdanadaaaah
nilikuwa ndani ya getho na set mipango mara riiing riiiing
kucheka alikuwa mwana stori ilikuwa hivi na nukuu michapo mwanangu usiogope kuna kijana wa kifahari
anasema anajua panga mistari tajiri atari ata achume mali isitoshe anasema kuwa anakukubali