azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

shine nuny – nakaza lyrics

Loading...

nakaza lyrics
tonardo vibes…

verse 1
haya mapenzi mie eeh, mwenzenu sina hali
nilio mpenda miee eeh, baby wake hamjalii…
mwenzangu uzuri anao, anasifika kwenye mitandao
anawaka anamng’ao, j+po kizuri hakikosi kasoro

bridge
naasipo chunga chunga, atavurunda mwenzake nitambeba
nitamng’ang’ania.. hata kuchi kuchi nitamchezea
na akitaka tunda tunda, sitovunga sitombeza
nitammegea nitamlisha kwa ulimi tuwe pair

chorus
akilegeza mi nakaza kaza kaza, kaza kaza kazaaa (nakaza)
kaza kaza kaza, kaza kaza kazaa…. (nakaza)
kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (nakaza)
kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (nakaza)

verse 2
nitazidisha visa mpaka nimeteke, nachagani sifa nyingi makeke
k+mchizisha nitajivisha na utepe dera, deraaa…
nanilivyofundi fundi, ni kama gundi ikinasa haitoki
tutakesha kama bundi na bado atasema haitoshiii…

bridge
naasipo chunga chunga, atavurunda mwenzake nitambeba
nitamng’ang’ania.. hata kuchi kuchi nitamchezea
na akitaka tunda tunda, sitovunga sitombeza
nitammegea nitamlisha kwa ulimi tuwe pair

chorus
akilegeza mi nakaza kaza kaza, kaza kaza kazaaa (nakaza)
kaza kaza kaza, kaza kaza kazaa…. (nakaza)
kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (nakaza)
kaza kaza kaza kaza, kaza kaza kazaaaa (nakaza)

outro
nitazidisha visa mpaka nimteke, nachagani sifa nyingi makeke
k+mchizisha nitajivisha na utepe dera

nakazaaa….

nakazaaa…

tinoooo

Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...