azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

sounds of grace – umeniweka huru lyrics

Loading...

kamba za mauti zilinizunguka
shida za kuzimu zilinipata
ukaja yesu ukanipa ushindi
ukanipa tumaini bwana
umenizunguka

kamba za mauti zilinizunguka
shida za kuzimu zilinipata
ukaja yesu ukanipa ushindi
ukanipa tumaini bwana
umenizunguka

chini ya bonde la uvuli wa mauti
gongo lako na fimbo yako bwana vyanifariji
mwamba wa wokovu w+ngu
yesu umeniweka huru

chini ya bonde la uvuli wa mauti
gongo lako na fimbo yako bwana vyanifariji
mwamba wa wokovu w+ngu
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

nimefanywa mwana, uzao mteule
taifa takatifu, mtu wa milki ya mungu
nimеijua kweli, imeniweka huru
huru kwеli kweli

nimefanywa mwana, uzao mteule
taifa takatifu, mtu wa milki ya mungu
nimeijua kweli, imeniweka huru
huru kweli kweli

nimefanywa mwana, uzao mteule
taifa takatifu, mtu wa milki ya mungu
nimeijua kweli, imeniweka huru
huru kweli kweli

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

nimefanywa mwana, uzao mteule
taifa takatifu, mtu wa milki ya mungu
nimeijua kweli, imeniweka huru
huru kweli kweli

nimefanywa mwana, uzao mteule
taifa takatifu, mtu wa milki ya mungu
nimeijua kweli, imeniweka huru
huru kweli kweli
umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru

umeniweka huru
umeniweka huru
umeniweka huru
yesu umeniweka huru



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...