azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

spice diana feat. zuchu – upendo (feat. zuchu) lyrics

Loading...

lele lelele
lele lelele eh
lele lelele
mocco

umepata mabinti lakini mi′napiga kama kush
limeshika ma boys wa kampala wate ni kawa crash
jina langu ni diana
nimekuona toka jana
sasa ka tunilikutana
kila kitu baby we’re gonna (do)

upendo oh oh
upendo oh oh
upendo
sio magic
huu ni upendo oh oh
upendo oh oh
upendo oh oh
upendo
sio magic
huu ni upendo oh oh

mapenzi
mapenzi ih iih ih
yamenizidi kwa kichwa
nimwenzenu siwezi
mapenzi
mapenzi ih iih ih
yamenizidi kwa kichwa
tena siwe+eeh zi ih iih

akinipa karoti
na idadi ya
naikula kavu kavu
na misa hamba sort
uma nalia
alichangia paka nyavu
to the left
kulia (kulia)
atakacho mie sawia (sawia)
kama kasheti vi bagia (bagia)
echa chanuoni mwagia ah yeah ooh
baby nkwagala nyo nkwagala nyo nkwagala nyo baby
mukwano nkulowozako nkulowozako nku oh ah yeah+oh baby

upendo oh ooh (ah yeah+oh maama)
upendo oh ooh (mimi umana)
upendo (oh oh oh ooh ooh)
sio magic
huu ni upendo (naona ah aah)
upendo oh ooh (ah yeah+oh maama)
upendo oh ooh (mimi umana)
upendo (oh oh oh ooh ooh)
sio magic
huu ni upendo (ah yeah sasa)

eh
ameni touch touch oh (amenigusaa gusa)
ya juu ya chini vya mnja vya katifia
(amenigusaa gusa)
ameni touch touch oh (amenigusaa gusa)
nkwata kwata onteke woyagala
(amenigusaa gusa)
yeah+yeah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...