azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

timmy tdat – macondition lyrics

Loading...

nikikupata hey, niko sorted
wacha wale wanaodai niwalipe wote
huyo sio w+ngu huyo ni wa voke
uliza majirani niliwatoka wote

hey hey, my baby girl wacha drama
na kwa hii nyumba mimi nitahama ey
hehee naomba tu unipe mwaka
kabla haijaisha nikupe hummer

maisha ina maganji sana
keja yangu bado ina maganji sana
maisha ina maganji sana
keja yangu bado

naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah

she want a in a dollar man
chop on the money plan, isha shida yaani
awe anavaa kupendeza sio shati na blazer
fine girl, and she make me do me kinda believe
na ni kapeng ting, so vitu kanadai
siwezi kataa, siwezi mind
nishakasomea mbali
you wanna mess with my heart no no
nishakasomea mbali
you wanna mess with my heart no no

naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yеah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah

umekuwa bad girl kitambo ulikuwa good
ambiwa vitu nyingi unajifanya tu kabubu
unaendaga kwa machali unajifanya uko skulu
alafu unanisomеa ni kama bado uko skulu

hey girl o utanipa kamdudu
machali wakikuita unasema kam to do
girl, ugali na kasupu
wanakudishi w+n+lamba nyakakulu

unanicheza mi
mbona beiby girl unanitesa mi?
we mlittle girl so unanitesa mi
mbona beiby girl unani?

naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
naishi na maconditions ooh
naishi na maconditions ooh yeah
niko secured hata ka g4s
nimekungoja form 34s
uko na yule donga sai i guess
ukiulizwa ha, ni ma excuses

tena argument niko right
ona bado unataka tu kuleft
beiby girl hahahaha

argument am right
unataka tu kuleft



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...