tumaini gospel singer’s – anakuja lyrics
anakuja mwokozi yesu
kuchukua wateule walipo duniani
anakuja mwokozi yesu
kuchukua wateule waliopo duniani
kila jicho litamuona anakuja na mawingu
akishuka na mwaliko wa malaika zake
kila jicho litamuona anakuja na mawingu
akishuka na mwaliko wa malaika zake
yesu
kila jicho litamwona
yesu
akishuka na mwaliko
yesu
kuchukua kanisa lake
yesu
lililotakaswa kwa damu yake
yesu
hata waliomkataa watamwona
yesu
akishuka na mwaliko
yesu
kuchukua wateule wake
anakuja mwokozi yesu
ohohoooo
kuchukua wateule walipo duniani
yesu anakuja
anakuja mwokozi yesu
huyu yesu
kuchukua wateule waliopo duniani
tazama kila jicho
kila jicho litamuona anakuja na mawingu
yeyeeeyeee
akishuka na mwaliko wa malaika zake
tazama kila jicho
kila jicho litamuona anakuja na mawingu
yeyeeeyeee
akishuka na mwaliko wa malaika zake
yesu
kama vile bibi harusi
anavyojiandaa kwenda kwa mumewe
kama vile bibi harusi
anavyojiandaa kwenda kwa mumewe
vivyo hivyo na kanisa imelipasa
kujipambaa kwa utakatifu tabia na adili
tabia na adili
ndugu zangu tumepewa nafasi ya kujitayarisha
ndugu zangu tumepewa muda wa kujitayarisha
ndugu zangu tumepewa nafasi ya kujitayarisha
ndugu zangu tumepewa muda wa kujitayarisha
saa ya matengenezo
muda wa kujitakasa
saa ya mayengenezo
muda wa kujitakasa
ni sasa
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
kaa chonjo yesu anakuja
kukulipa sawa na kazi yako
Random Lyrics
- a2h – diplo black lyrics
- rick alvin – you go to my head lyrics
- the pigeon detectives – lovers come and lovers go lyrics
- salvatore scire – stolzes corazon lyrics
- killaxo – go to hell lyrics
- kreatīvs – fresh water lyrics
- bankrol hayden – cincinnati lyrics
- артём пивоваров (artem pivovarov) – тріолет (triolet) lyrics
- goyar – trouble in paradise lyrics
- lauren daigle – ego lyrics