wakadinali – gangster memes lyrics
kuna bash kw+ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
ooh dodo, dosh
niko sema nilipata missed calls
mi huzima tenje niko riko
hohohoho
alah! kabisa walichora
wali agree nilikwara
next door neighbour
alibadilisha simu after covid
wah!
nategеa teo w+ngwa
street life ni curriculum
nangojea еxams munga nimeichambua
kuna bash kw+ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
sa mbona ni, unja ni
piga mboka mpka mtaani
dunga ngithe pesa money
bonya ugali mpaka maini
cheza rwimbo cheza chini
ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni
kuna bash kw+ngu na ako ndethe
huyo ni nani ni munga ni mimi
cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
anaweza mawezere wezere
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
unabonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster na uko na memes
bonga gangster
ati unabonga gangster na uko na memes
ahahahaha, aiyayayaya…
ndo iyo ndo iyo
leta…
Random Lyrics
- tizzo – pinel lyrics
- rezarta smaja – e jemja nuse lyrics
- nintendo – super mario theme lyrics
- born low – numb to feel lyrics
- suzuya – mon cœur te sera fidèle jusqu’à son dernier battement lyrics
- jorja smith & guilty beatz – all of this (mala remix) lyrics
- worldtourwoo – saved by the bales lyrics
- barbara cook – losing my mind lyrics
- ya, mashkal & celo & abdi – chanel lyrics
- stephen sondheim – “ten years after i was born…” lyrics