wakadinali - hatutaki uso lyrics
[instrumental]
[intro]
nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh (yoh)
kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
is this your girl dude?
yoh, i’m sorry bro
nilikuwa nikiingia high school
naguzisha chogi anaacha uso
pesa ni sabuni ya roho
nikiwa mzee nitashika more
pressure ya leo tunaisk+ma moro
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
[verse 1]
weed is so good
i wish w+ngejua hivo
wasee kama willis raburu
mi ni bazu tuko streets
hatuko kambi na hatuko kwa mbulu
magagu wako biz
hawataki tena kwenda
kusimama kwa mbao maduu
camp yetu ina mullah
kidogo ata tufikirie kurecruit karun
splash them wet
wakae ni kama wametoka kwa pool
wako na games wanafaa
wacheki carol radull
energy mingi kushinda redbull
come near utapigwa mangumi
semaji biggie naona uko na pretty mama
ametoka majuu?
mi niko na ganja
[kuna pill imeland?]
[anajuana juu ya nirvana?]
best topic ni ya kuvaana
hivyo ndio jana walimada kamwana
marapper wengi wanafanana
kwa hii drill
guess who’s their father?
wengine walishindwa kuipata
next thing naskia (yoh, yoh) anapiga my cover
[chorus]
nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh
kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
is this your girl dude?
yoh, i’m sorry bro
nilikuwa nikiingia high school
naguzisha chogi anaacha uso
pesa ni sabuni ya roho
nikiwa mzee nitashika more
pressure ya leo tunaisk+ma moro
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
[katapilla]
sitoki jamaica
but i carry more
guns like heritage
on a definite, we are delicate
i don’t give a f+ck
i’m celibate
kitambo nilikuwa napiga lesser
kukesha, silali mf+ko bila tukis
saa hii ni blessing, genge
peng ting pull up in the place
kaa ni gari two keys
kataveli on the mic, mbuzi
fans love, we know
they can never boo this
utakutwa hii pande ukimblain
chatty chatty na mastory za oduzi
ukifika kwa mboka chapchap
ukituma your demo kwa whatsapp
uk+mbuke kutuma mpesa you f+cked up
otherwise me i will not trap
bro hatutaki uso
ndio the reason we keep it a hundred
siko kwa block
na natafutw+nga na landlady
yeah we looking for cheese
smoking khalifa mawiz
i’m up with the gs
we trynna stack up the cheese
[chorus]
nilimarwa nyuma ya bafu na odi joh
kuingizwa staffo nikamtoka pori yoh
is this your girl dude?
yoh, i’m sorry bro
nilikuwa nikiingia high school
naguzisha chogi anaacha uso
pesa ni sabuni ya roho
nikiwa mzee nitashika more
pressure ya leo tunaisk+ma moro
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
hatutaki uso
Random Lyrics
- corey laitman - norma jean lyrics
- typ:t.u.r.b.o. - intro lyrics
- mithoon - chal tere ishq mein lyrics
- zakzos - present lyrics
- julian julian - solo lyrics
- songer - sky sessions freestyle lyrics
- nestre - не могу найти (сan't find it) lyrics
- evans - тает (melts) lyrics
- ario - 2f lyrics
- chipeur63 - la faille lyrics