azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

wiz nation – one day lyrics

Loading...

ni kama ndoto
mara ya kwanza
nlipokuona wewe

maneno mengi
eti unaringa
siwezi kua na ww

subra uvumilivu
alinifunza mama
namshukuru milele

yapo ya walimwengu yao mengi sana
jitahidi uelewe

mashemeji zako
hawanaga adabu
ujichunge wewe

maneno yao mengi
na bila ya aibu
watakutaka na wewe

subra uvumilivu
alinifunza mama
namshukuru milele

yapo ya walimwengu yao mengi sana
jitahidi uelewe

chorus
(one day)
ooh ooh one day
(one day)
mimi na we
(one day)
lahzizi kipenzi
(one day)
tuishi sote

ooh oooh one day
(one day)
baby wewe
(one day)
wasije washenzi
(one day)
watugombanishe

verse 2
ni kama bahati
mi kua na we
si unajua wanafiki
hawatochoka kamwe

kama ni warembo mi shaona wengi
ila hakuna kama we
umenikamata sana na siwezi
kwenda mbali na wewe

nisije pata kaugonjwa ka moyo
ukienda mbali we
wakajaniona mimi poyoyo ukiniacha mwenyew

subra uvumilivu
alinifunza mama
namshukuru milele

yapo ya walimwengu yao mengi sana
jitahidi uelewe

chorus+2
(one day)
ooh ooh one day
(one day)
mimi na we
(one day)
lahzizi kipenzi
(one day)
tuishi sote

ooh oooh one day
(one day)
baby wewe
(one day)
wasije washenzi
(one day)
watugombanishe



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...