azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

yemi alade – poverty (swahili version) lyrics

Loading...

ooh yeye yeye yeye aah ah
ooh yeye yeye yeyee yee eh
oh ooh oh
no no no no no no

sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani
umasikini maishani
umasikini maishani hapana oh

nasema hapana, hapana aah
sema hapana, hapana aah
nasema sitaki (no no no no no)
mi sitaki (no no no)
ay hapana aah

thamani yangu masaa nitatumia vyema oh
baba mungu kanibariki nitatumia vyema oh
hesabu baraka ndugu yangu
oh dada yangu
zitaje moja kwa moja

umasikini ni ugonjwa na sitaki kugonjeka
yahweh yuko na sisi, shida hutuhepa sisi
woyo yo, woyo yo
baraka zazidi kunifuata
sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani
umasikini maishani
umasikini maishani hapana oh

nasema hapana, hapana aah
sema hapana, hapana aah
nasema sitaki (no no no no no)
mi sitaki (no no no)
ay hapana aah

umasikini ni ugonjwa na sitaki kugonjeka
yahweh yuko na mimi, shida hutuhepa sisi
woyo yo, woyo yo ooh oh
baraka tele hunifuata

cheki nikishine prosperity follow me
cheki nikishine excellence follow me
everywhere i go
na sasa sasa currency mpya
i no want poverty for my life

sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani hapana oh
sitaki umasikini maishani
umasikini maishani
umasikini maishani hapana oh
nasema hapana, hapana aah
sema hapana, hapana aah
nasema sitaki (no no no no no)
mi sitaki (no no no)
ay hapana aah



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...