azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young beez – youngbeez-sio mchezo lyrics lyrics

Loading...

song by youngbeez

nimepata mpenzi ni kipusa
anipenda hawezi kuniumiza
mapenzi ni kama maradhi
yanatesa yakishakuridhi
yanafanya raha huzuni
sisemi ni hatari
si ukimwi sio malaria
muhimu jihadhari

utakosa raha ya maisha
hata kama magari unayo
ukipendwa kuwa wa kupenda
ni ukweli sio utani
ukipendwa kuwa wa kupenda
ni ukweli sio utani

mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchezo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchezo
sio mchezo sio mchezo aaah aah
sio mchezo kwa mapenzi yote hali ya wawili
ya wawili ni kupendana, kudhaminiana, kushirikiana
sitotaka kutenganika kama bingu nayo ardhi
kile kidonda cha mapenzi, moyoni bado hakij+pona
njoo baby unijaze, aaah aah
nami baby nikujaze, aaah iyeiyeee

mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchеzo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchezo

wakunena wakanеna, wakasema utanitenga
nilipandwa nayo mori, kusikia hio story
kwa sababu ya mapenzi, sikutaka yawe kitenzi
nikafanya kujinyonga, wakasema ni utani
staki tena pangu pakavu, kuja tena kutia mchuzi

ni wengi waliaga mapenzi, wakipewa hawayaenzi
kuyalinda hata hawawezi, wanabaki kulia machozi
mchunge wengi ni warembo, wakufanya ubaki wa kitambo
na sisemi uache kupenda, no
unapenda
ukipendwa kuwa wa kupenda,ni ukweli sio utani
ukipendwa kuwa wa kupenda,ni ukweli sio utani
mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mapenzi ni ya wawili
kupenda sio mchezo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchezo
mummy, sio mchezo
baby, sio mchezo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...