azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

young kacha – bora baba angekuwa mbunge lyrics

Loading...

intro:ts all about hustle….hustle all day……

verc:1
miksa kuku miksa bata zinawafanya wawe stebo/
kila siku mi tembele j-po muhimu vegetable/
mpaka wana kinai utamu kama samaki kupiga mbizi/
mie vinono na vitamu naishia kuviota kwenye njozi/
yule baba ake mbunge, w-ngu mwananchi wa kawaida/
baba angekuwa mbunge nisingezijua shida/
wanajenga barabara ilimradi kwa faida yao/
ili wakija kwenye kampein wasiumize magari yao/
wakiondoka ndo wameondoka wanatuachia vumbi tu/
hafueni kwa wakishua sio kayumba wa miguu/
kiatu cha shule miaka mitatu, uku wa mbunge ye anachange/
skonga hupelekwa na gari, mi mpaka soli husema please/
elimu yangu yakikayumba nasoma kwa mw-nga wa jirani/
uku wa mbunge ye ana happy na tayari yupo mamtoni/
bora baba angekuwa mbunge dodoma bungeni/
labda izi shida ningeishia kuziota ndotoni……

chorus:
life is hard matatizo yamepangana/
hakuna kazi kwa ofisi wanabebana/
life chungu sio sweet kama banana/
stress nyingi kwa kichwa zinagandana…..



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...