azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

zzero sufuri – xmas song lyrics

Loading...

sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
mangwaka zangu zimeland

naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
pedi w-ngu hayuko around
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
pedi w-ngu hayuko around

kuna venye nilikuwa nikitaka
sijui ka unauzaga nyama ya bata
leta kwanza ka umekata kata
sijui ka nitabeba ama itanifuata
bahati nzuri nimeipata
pitia kwa duka uchukue
fanta c0ke ama sprite fasta fasta
ni mistari kuziandika na mafans kuwashika
hadi wanapandisika downtown hadi thika
kutoka foreign dagoretti washafika
ndani ya kambi flani ni mistari tun-z-piga
ni venye zimeiva hadi wanadai kuonja
hawawezi ngoja ni venye mi huwanyc design
ya kajaba na tunjoti au gomba
na ikibamba sana
dj pull up ka ni noma yo yo

sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
mangwaka zangu zimeland

naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
pedi w-ngu hayuko around
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
pedi w-ngu hayuko around

flight ya 4:20 haina departure
walai mi na apa sasha mi sitawai kuacha
tangu nikujue mi ni kama pacha
mara mingi mi hujipata nikikuwaza
nakutaja nakuroll nakuasha
mokoro alinipata na wewe si alinipasha

akanikataza same day
akapata na-na-na zigi kwa kinyasa
heri unichizishe kuliko unidai nakaza
sa mbona nikufiche nikikukula ka nimenyamaza
sia ati sina senti, sina sensi za kuseti
siezi kuseti, na huyo pedi akikuja ghai tutableki
dagoretti na tuliwashow we gon make it

sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
sijajipin ninge kuburn
mangwaka zangu zimeland

naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
pedi w-ngu hayuko around
naskia kuseti kisensimina
naskia kuimba zimenishika
naskia kuseti kisensimina
pedi w-ngu hayuko around



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...