azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ebebé jamal – tusherehekee lyrics

Loading...

naf n+ ger

tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee,tu,tu..!
tusherehekee, tusherehekee,tu,tu
tusherehekee tusherehekee
tu,tu,tu,tu…!
tumetoka mbali, maisha safari
tu,tu,tu…!
tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee
tu, tu,tu..!
tumetoka mbali, maisha safari
tusherehekee, tusherehekee, tu, tu..!
tusherehekee tusherehekee

mchezo ulianza ,chini ndala mbovu, ah..!
mwilini makovu, ah..!
peni ipo mkononi, ah..!
hakuna ambaye aliyetegemea itakuwa hivi siku za usoni
hakuna ambaye aliyetegemea,leo nitakuwa mjengoni, ah.!
mungu ndio anajua, ah..!
leo napiga hatua, ah.!
kesho itakuwa ya nani wa jana tayari washatusua, ah.!
kombolela, nani atabutua, ah..!
nani atabukua, na tukifika itabidi tu, tu, tu.!
tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee,tu,tu..!
tusherehekee, tusherehekee,tu,tu
tusherehekee tusherehekee
tu,tu,tu,tu…!
tumetoka mbali, maisha safari
tu,tu,tu…!
tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee
tu, tu,tu..!

tumetoka mbali
j+po mchezo kamali
namuomba jalali
niitunze amani kama rasta bob marley
hainaga makuzi j+po w+n+leta upuuzi
nikate ringi na nyuzi mbele ya my familia
ujuzi ukufunzi, unaopelekea ugunduzi
ladha ndani ya utunzi matunda ninayokadilia
naisaka michuzi na sintowaza kuloose
paparazi wanaperuzi nyota ninayosafiria
n+z+unga hizi fuse stop messing with my music
mpaka haters wananyuti mipango wanayopangilia
nipo site, j+po life tight
morning mpaka night because nimedhamilia
nitafight, buku kuwa laki
j+po hawataki ila nimepania
tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee,tu,tu..!
tusherehekee, tusherehekee,tu,tu
tusherehekee tusherehekee
tu,tu,tu,tu…!
tumetoka mbali, maisha safari
tu,tu,tu…!
tusherehekee, tusherehekee, tu,tu..!
tusherehekee tusherehekee
tu, tu,tu..!
tumetoka mbali, maisha safari
tusherehekee, tusherehekee, tu, tu..!
tusherehekee tusherehekee