azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ematalent tz – akunipenda lyrics

Loading...

aliniona mikoro oooh kanizingu aaaah
kw+ngu anakula anapita nakuchua aaaah

k+mbe akuwa mchoyo oooh
misikujua anasema ananipenda wakati ananiektia
miuno ya mpaka chongo oooh anaijua
anaikata kwa vigoma anasaula
sikulenga kwa jicho chongo yameniumbua
anasema anapenda macho wakati anapenda pua aaah
aaah
akunipenda misikujua aaah
kw+ngu aliweka kitega kanitegea
naungesema unipendi ningeomba pooh
mapenzi si mchezo ungecheza kidali pooh oooh
kwenye mapenzi mwenzakobado nipo oooh
usinione mi poyoyo mama ukanitoa roho
hallow oooh oooh
aliniona mikoro oooh kanizingu aaaah
kw+ngu anakula anapita nakuchua aaaah

k+mbe akuwa mchoyo oooh
misikujua anasema ananipenda wakati ananiektia
miuno ya mpaka chongo oooh anaijua
anaikata kwa vigoma anasaula
sikulenga kwa jicho chongo yameniumbua
anasema anapenda macho wakati anapenda pua aaah
aaah kwa shobo zangu nilimfollow
akanifollow k+mbe aliniona koroo
nikajiona mshindi k+mbe mi choloo
mwenzangu mjanja anapita vichochoroo
nilijivika kitanzi mi bila kujuaaa
nikajiona shujaaa najisumbuaaa
k+mbe hatariii yaani si shwaariii
nilipogusa pale k+mbe ni hatariii
k+mbе hatariii yaani si shwaariii
nilipogusa pale k+mbe ni hatariiiiiiii

niliingia kichwa kichwa mwenzеnu nalia yamenikutaaaa
hakuna wa kunifarijii nabaki nalia mi kama mwizii
k+mbe niliforce ili awe na mie nitoe noti ili asikimbie
alipenda pochi akunipenda mieee eheeee eeeeehhhhhh
akunipenda misikujua aaah
kw+ngu aliweka kitega kanitegea
naungesema unipendi ningeomba pooh
mapenzi si mchezo ungecheza kidali pooh oooh
kwenye mapenzi mwenzakobado nipo oooh
usinione mi poyoyo mama ukanitoa roho
hallow oooh oooh mamaa haloooo
mama halooooooooo ooooohhh
ahhaa talent hapa nikiwa sambamba na dj junii
ahaa nipigie misondoooo mwanaumeeeeeee

ohh jamani napopenda sipendwii sa mbona mimi nakataaa
kwa mbele kwa nyuma asa mbona mi nabishaa
napopenda sipendi sa mbona mi nakataaaa
kwa mbele kwa kwa nyuma asa mbona mi nabishaaaaaaa
nioneshe uakatikaaa shika ukuta zungusha duaraa
namsamba unachanikaaa
nioneshe uakatikaaa shika ukuta zungusha duaraa
namsamba unachanikaaa
chuchuma kama wengine wanavyosemaa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...