azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

meaconscious - one day by lyrics

Loading...

by meaconscious
kosa langu me kukuçhagua
ikulu mwili w+ngu unanisumbua
nikupe nini ulidhike, yakome masekeseke
silali niwewesekeeh heeeh ee eeeh!!??

bridge
vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana
kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao x2
huuuuuuuuh moyo w+ngu

kiitikio
only one day ningekuwa kama wale
tungekuwa saresare kama maisha ya kambale x2

nijichane kifuani, nikianike hadharani
mfupa kwa kiboyo, siwezi kuwa poyoyo

zile sitaki nataka, pupa haina baraka
umegeuka kichaka, hifadhi ya takataka

bridge
vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana
kilio changu sio chao, siwezi kulia na wao x2
huuuuuuuuh moyo w+ngu
hiiiiiiih nafsi yangu
kiitikio
only one day ningekuwa kama wale
tungekuwa saresare kama maisha ya kambale x2

nijichane kifuani, nikuanike hadharani
mfupa kwa kibogoyo, siwezi kuwa poyoyo

zile sitaki nataka, pupa haina baraka
umеgeuka kichaka, hifadhi ya takataka

bridge
vidonda vya moyo vibaya, vinanitesa sana
kilio changu sio chao, siwеzi kulia na wao x2
huuuuuuuuh moyo w+ngu
hiiiiiiih nafsi yangu

only one day, ningekuwa kama wale
kama maisha ya kambale eeeeeh

vitam tamu ndani yake vina sumu, wewe moyoooh
mbona una nihuk+mu x2

only one day, ningekuwa kama wale
tungekuwa saresare
kama maisha ya kambale eeeeh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...