azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

one the incredible – rap science lyrics

Loading...

(verse 1)
hii ni news kwa ma – rap star/
kwenye mdundo mi ni bao, nateleza na nina ujuzi wa kunata/
utunzi bado culture, na – peruz kurasa/
mwenyeji vituo vyote kama mluzi wa kondakta/
uhh.. beat ya den texas/
nchi ya verse, tenzi hazihesabiki hata kwa census/
sense sick, spit ka` na – desease kwa senses/
new era muzik, old rapper hit the benches/
nawakilisha illmatix toka enzi/
ikiwekwa beat kati tunagawa kama chenji/
peace kwa j ryde, bano stylez enzi
toka tunafanya freestyle kwa ringtone za dre beats/
tenzi za roho kutoka kwa rap dayosis/
niko sick, sitibiki kwa anti-biotics/
maabara ya mziki na – deal na rap science/
uno the chemist, niko na text the mad scientist…

(verse 2)
check…. hii ni for the people wa kitaa, people wa mitaani/
the people behind bars wanaoishi kwa imani/
mother kani – teach tuko equal so sidhani…./
…. ka` nikiku – treat sivyo tutakuwa people wa amani/
sikupeleki higher nakurusha/
haina ku – retyre, weka fire kama kaya kwa wavuta/
namwaga dawa ka` supplier, ama pusher/
mpaka wanachoka mbaya, shonea waya kwenye bukta/
mbaya nawakilisha/
hata nibarikiwe na uhai wa kujidai mpaka messiah anapofika/
na sina ubaya, nimeutumia mpaka umekwisha/
so, hata niki – retyre nitaimba kwaya ya kanisa/
we ni big screen star unaetisha/
mi ni sixteen bars za sifa, hapa u – star unakwisha/
muda hausimami, masaa yanapita/
maisha ni movie ya kila siku, mi ni star kwenye picha…

(verse 3)
hii sio hip hop conscious, ni hoja njema/
sina nguzo tano, mi natumia moja vyema/
moja tena, niite nyota njema/
ka` ulie nae mikosi huna budi k-mngoja mwema/
bado mbinde nilinde hali/
mkali jilinde, kama unaringa kibingwa karinge mbali/
jilinde na zali, habari zifike kwa wahuni wa maskani, niko nanyi kama vizinde vya kali/
sina drama wa beef k-mbuka/
hizo peleka kwa baby – momma, sio sisi utaumbuka/
huu ndo mw-nga, mweusi hawezi w-nga, hapa zina tw-ngwa chungu sio rahisi k-mumusa/
ukihisi nimekugusa, diss/
hizi flo kubwa zinawavuka, iwe bukta ama jeans/
stuka ama sizi/
sanuka hawa machizi wameshafua, na hawawezi kukauka zama hizi…



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...